Mshindi wa pili kitaifa katika Matokeao ya kidato cha nne mwaka 2015, mtanzania mwenye asili ya China, CongCong Wang kushoto) akiwa na mama yake mara baada ya kutangazwa jana matokeo hayo. Amemaliza kidato cha nne Feza Girls. Picha na Lovennes Bernard.
Waziri Jafo akagua maandalizi miaka 60 ya CBE
-
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Selemani Jafo ametembelea Chuo cha Elimu ya
Biashara (CBE) kuangalia maandalizi ya sherehe za miaka 60 t...
47 minutes ago
No comments:
Post a Comment