Kikundi Cha kujitolea Nchini Nigeria kutoka Danish wamemsaidia kijana mdogo wa Kiume ambaye alikuwa ametelekezwa na Familia yake kwa takribani miezi 8 kwa Tuhuma za kwamba ni mchawi.Kikundi hicho cha misaada kilimchukua kijana huyo na kumpeleka hospitali nakuanza kupatiwa matibabu,na hatimaye kuanza kumlea.
Chanzo Daily Mail
No comments:
Post a Comment