Halmashauri mpya ya mji wa Mbinga mkoani Ruvuma, imeazimia kununua mitambo maalumu ya kusaga takataka ili kuondokana na hatari ya kukumbwa na magonjwa ya milipuko inayotokana na uchafu ikiwemo kipindupindu , pia takataka hizo zitakazokuwa zikisagwa kwenye mitambo hiyo zitatumika kama mbolea kwenye mashamba ya wakulima.Story kamili hii hapa RUVUMA TV.
Serikali Sikivu Ingeyafanyia Kazi Maoni ya Wadau Kupata Sheria Bora za
Habari
-
Na. Najjat Omar
AZIMIO la Ulimwengu juu ya Haki za Binadamu (UDHR) la mwaka 1948 ndiyo
msingi mkuu wa maazimioyoteya haki za binadamu yaliyoridhiwa na mat...
19 minutes ago
No comments:
Post a Comment