Wachezaji wa Simba wakishangilia baada ya timu yao kuifunga Mgambo Shooting 5-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania. (Picha na Francis Dande)
Mshambuliaji wa Simba, Daniel Lyanga (kushoto), akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa Mgambo Shooting, Aziz Gilla katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji
wa Simba, Daniel Lyanga (kushoto), akichuana na beki wa Mgambo Shooting, Aziz
Gilla katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja
wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Kocha wa Simba, Jackson Mayanja akifuatilia mchezo huo.
Mashabiki wa Simba.
No comments:
Post a Comment