Mtanange wa Yanga na Tanzania Prison watoka Sale ya gori Mbili kwa Mbili ambapo Mchezaji wa Timu ya Yanga Hamis Tabwe alifungua Lango la Timu ya Tanzania Prison kwa Gori la kwanza Dakika ya 36 kisha Jeremia Juma Mchezaji wa Tanzania Prison kusawazisha Bao la kwanza.
Dakika ya 41 kwa Timu yao ya Tanzania Prison, kisha Mhammed Mpoki Mchezaji wa Prison kuongeza tena Gori la pili Dakika ya 63 kwa Timu ya Prison na Saimoni Msuva kutoka Yanga kusawazisha Gori la pili kwa Timu ya Yanga ikiwa ni muendelezo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara.
Kikosi Kazi cha Timu ya Yanga.
Kikosi Kazi cha Timu ya Tanzania Prison..
Baadhi ya mashabiki walio zuwa Gumzo Uwanjani mara baada ya Kumwaga Razi kwa kuvuwa Nguo zao kuishangilia Timu yao ya Prison iliyokuwa ikichuwana na Yanga katika Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
Mashabiki kinazi wa Timu ya Dar es salam Young Africa wakishangilia Timu yao ya Yanga.
PICHA ZOTE NA MR.PENGO-MBEYA.
No comments:
Post a Comment