TAZAMA PICHA NA VIDEO:::PAPA APATWA NA HASIRA BAADA YA UMATI KUMSUKUMA NA KUTAKA KUMDONDOKEA MLEMAVU
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoli Papa Fransis amewafokea umati wa watu baada ya kumzonga kumsalimia hali iliyopelekea kupoteza balansi na kutaka kumuumiza mlemavu aliyekua kwenye baiskeli ya matairi.Hayo yametokea katika Jiji la Morella Spain
No comments:
Post a Comment