Pages

Thursday, March 17, 2016

STAND UNITED YAKUBALI KICHAPO CHA BAO 1-0 KUTOKA KWA AZAM

Mshambuliaji wa Azam FC, Allan Wanga akiwatoka mabeki wa Stand United  wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Chamazi  Complex jijini Dar es Salaam , Azam imeshinda 1-0. Kwa matokeo hayo Azam imefikisha pointi 50 na kubaki katika nafasi ya tatu huku nafasi ya kwanza ikishikiriwa na Simba ilikiwa na pointi 54 na Yanga ikishika nafasi ya pili kwa kufikisha pointi 50. (Picha na Francis Dande)
Beki wa Stand United, Assouman N’guessan (kulia) akichuana na mshambuliaji wa Azam FC, Allan Wanga.
 Kipa wa Stand United, Frank Muwange  akiokoa moja ya hatari langoni mwake.

 
Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akitafuta mbinu ya kumtoka  beki wa  Stand United, Assouman N’guessan wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara.
Beki wa Stand United, Revocatus Richard akijaribu kumzuia mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche.
Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akimtoka beki wa Stand United, Revocatus Richard.     
Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akimtoka beki wa Stand United, Revocatus Richard wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara.
 Mashabiki Stand United wakifutilia pambano  hilo. 
Golikipa wa Azam FC, Aishi Manula akidaka mpira langoni mwake.

No comments:

Post a Comment