Mrwanda
ambaye msimu uliopita alikuwa anaichezea klabu ya Dong Tam Long An
iliyoshiriki ligi kuu ya Vetnam msimu uliopita amesaini mkataba wa mwaka
mmoja lengo likiwa ni kuhakikisha timu hiyo inarudi tena ligi kuu msimu
ujao.
baada
ya kuonyesha kiwango kizuri mchezaji huyo wa zamani wa Simba ya
Tanzania amefanikiwa kuongezewa mkataba mwingine wa kuendelea kuitumikia
klabu hiyo.
No comments:
Post a Comment