Baada
ya kuwasili nchini, kocha Mserbia Milovan Cirkovic akilakiwa na katibu
mkuu wa klabu ya Simba Evodius Mtawala kulia, na mwenyekiti wa kamati ya
Ufundi ya klabu hiyo Ibrahim Masoud "Maestro" na wa mwisho kushoto ni
Jerry Yambi mjumbe wa kamati ya mashindano ya klabu hiyo.
Kocha Mserbia Milovan Cirkovic aliyewasili nchini jana usiku kwa
mazungumzo ya kuinoa timu yake ya zamani Simba sports club mara baada ya
kuwasili uwanja wa ndege wa Dar es salaam, ambapo alipokewa na
mwenyekiti wa kamati ya ufundi ya klabu hiyo Ibrahim Masoud "Maestro"
kulia, wengine ni daktari msaidizi Shindika na Kit Manager Kessy.
Milovan
baada ya kuwasili nchini akijiandaa kuondoka uwanjani hapo sambamba na
mwenyekiti wa kamati ya ufundi Maestro na daktari msaidizi wa timu hiyo
Shindika, kulia ni kit manager Kessy
"Karibu tena Simba" Milovan na mwenyekiti wa kamati ya ufundi ya klabu ya Simba Maestro.
Benki Ya CRDB yashinda Tuzo 2 za Kimataifa za Mwajiri Bora – ‘Top Employer’
-
* Dar es Salaam, Januari 20, 2025 - Benki ya CRDB imeendelea kung’ara
kimataifa baada ya kutunukiwa tuzo 2 za Mwajiri Bora (Top Employer) na
taasisi ya k...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment