Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, November 8, 2011

LADY GAGA BWANA!!!!!!

LADY GAGA BWANA!!!!!!

ukiangalia fasta fasta unaweza usishtukie, lakini huyo ni LADY GAGA na hiyo ndio stail yake ya jana alivyotupia pamba kwenye tuzo za MTV EUROPE MUSIC AWARDS.
kwenye tuzo za jana mwimbaji LADY GAGA alishinda tuzo nne ambazo ni wimbo bora wa mwaka ambao ni BORN THIS WAY, ambapo ulikua inashindanishwa na rolling in the deep ya ADELE, grenade ya Bruno Mars, on the floor ya Jlo na Pittbul, na firework ya Katy Perry, video bora ya born this way,  best female, na tuzo ya biggest fans.
Wengine walioshinda tuzo ni pamoja na Justine bieber na tuzo ya best male na tuzo ya best pop, Bruno Mars best new act na tuzo ya best push act, Linkin park wameshinda Best rock, ambapo Best hip hop amechukua Eminem ambae alikua anashindanishwa na Jay Z & Kanyewest, Lil wyne, Pitbull na Snoop Dog.
ingekuta sio huyu jamaa ambae mpaka sasa hajulikani alikua nani, ingekuta sio yeye kupita kwenye stage akiwa kama alivyozaliwa, stori ya Lady Gaga kushinda tuzo nne ndio ingekua ya kwanza kuzungumziwa sana, lakini huyu jamaa kaifunika stori ya Gaga aisee!!!!! kama hujasoma stori ya huyu njemba, shuka chini ipo

No comments:

Post a Comment