LADY GAGA BWANA!!!!!!
kwenye tuzo za jana mwimbaji LADY GAGA alishinda tuzo nne ambazo ni wimbo bora wa mwaka ambao ni BORN THIS WAY, ambapo ulikua inashindanishwa na rolling in the deep ya ADELE, grenade ya Bruno Mars, on the floor ya Jlo na Pittbul, na firework ya Katy Perry, video bora ya born this way, best female, na tuzo ya biggest fans.Wengine walioshinda tuzo ni pamoja na Justine bieber na tuzo ya best male na tuzo ya best pop, Bruno Mars best new act na tuzo ya best push act, Linkin park wameshinda Best rock, ambapo Best hip hop amechukua Eminem ambae alikua anashindanishwa na Jay Z & Kanyewest, Lil wyne, Pitbull na Snoop Dog.
No comments:
Post a Comment