Pages

Saturday, November 5, 2011

MESSI NA CRISTIANO RONALDO WANAVYOENDELEZA UTAWALA WAO KATIKA SOKA



Majina yao siku zote yamekuwa yakienda pamoja. Sema “Messi” na watu watakujibu ‘Ronaldo’: mtaje Cristiano na utasikia wengine wanasema ‘Leo’ – hali hii ni kama ambavyo ipo katika soka la nchini Hispania ambalo kama hujaitaja Barcelona then utaitaja Real Madrid.

Hata wachezaji hawa wenyewe wamejikuta kwa mara kadhaa wakiwa kushindana, kama ilivyotokea kwa zaidi ya miaka 2 iliyopita: Messi anafunga hat trick or kucheza kwa performance ya hali juu na kusaidia timu yake kushinda , then Ronaldo nae atafanya hivyo hivyo au vice versa. Ushindani huu umekuwa na matunda mazuri kwa wachezaji hawa pamoja na timu zao.
Haikuwa surprise baada ya Lionel Messi kufunga goli la 200 akiwa na Bacelona, baada ya kutupia hat trick katika ushindi dhidi ya Viktoria Plzen jumanne iliyopita, siku iliyofuata Cristiano Ronaldo nae akafunga mabao mawili ya ushindi kwa timu yake dhidi ya Lyon na kufanikiwa kufikisha idadi ya magoli 100 tangu ajiunge na Real Madrid.
TAKWIMU ZA RONALDO NA MAGOLI YAKE 100 AKIWA REAL MADRID.
Cristiano Ronaldo amefanikiwa kutia nyavuni magoli 100 katika mechi 105 za mashindano yote.Ama kwa hakika ni rekodi ya kutisha ikizingatiwa katika msimu wake wa kwanza chini Manuel Pellegrin alikuwa nje ya uwanja kwa takribani miezi 2 kutokana na majeraha.
CRISTIANO RONALDO | 105 GAMES, 100 GOALS

MORE ON
CRISTIANO RONALDO
SeasonLa LigaCopaCLOtherAll comps
2009-1029/260/06/70/035/33
2010-1134/408/712/60/054/53
2011-1210/100/04/32/116/14
Total73/768/722/162/1105/100

Takwimu za mabao hayo 100 zinaonyesha kati ya magoli mia, magoli 75 ameyafunga kwa mguu wa kulia, 17 kwa mguu wa kushoto na 8 kwa kichwa.
CR7'S 100 GOALS | HOW THEY WERE SCORED
Right footLeft footHeaders
75178
TAKWIMU ZA MESSI NA MAGOLI YAKE 200 AKIWA BARCELONA.
1: MAGOLI 200 NDANI MECHI 286.
LIONEL MESSI | 286 GAMES, 202 GOALS


SeasonLa LigaCopaCLOtherAll comps
2004-057/11/01/00/09/1
2005-0617/62/16/10/025/8
2006-0726/142/25/13/036/17
2007-0828/103/09/60/040/16
2008-0931/238/612/90/051/38
2009-1035/343/111/84/453/47
2010-1133/317/713/122/355/53
2011-1210/130/04/53/417/22
Total187/13226/1761/4212/11286/202

2: MAGOLI JINSI ALIVYOYAFUNGA KATIKA MICHUANO TOFAUTI.
LIONEL MESSI'S 202 | GOALS BY COMPETITION
La LigaCopa del
Rey
Champions LeagueSpanish SupercopaUefa Super CupClub World Cup
1321742812

3: ALIYAFUNGA VIPI MAGOLI HAYO 200.
MESSI'S 202 GOALS | HOW THEY WERE SCORED
Left footRight footHeadersChestHand
(left)
16132711

No comments:

Post a Comment