Wachezaji
wa timu za Uganda na Zimbabwe wakipambana vikali katika lango la timu
ya Zimbabwe katika mchezo wa Robo fainali kombe la TUSKER CHALLENGE CUP
2011 uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jioni hii,
timu ya Uganda imefanikiwa kushinda mchezo huo goli 1-0 dhidi ya
Zimbabwe, Matokeo ambayo yanaitoa nje ya mashindano timu ya Zimbabwe.
PICHA NA MOHAMED MAMBO
TRA na Mabenki Wakutana Kukuza Ushirikiano wa Kodi
-
Na. Mwandishi wetu, Dar es Salaam
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inaendelea kukuza ushirikiano na wadau
mbalimbali wa kodi ambapo leo kwa kushirikina na ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment