Pages

Tuesday, December 6, 2011

UGANDA YAINYUKA ZIMBABWE 1-0 UWANJA WA TAIFA


Wachezaji wa timu za Uganda na Zimbabwe wakipambana vikali katika lango la timu ya Zimbabwe katika mchezo wa Robo fainali kombe la TUSKER CHALLENGE CUP 2011 uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jioni hii, timu ya Uganda imefanikiwa kushinda mchezo huo goli 1-0 dhidi ya Zimbabwe, Matokeo ambayo yanaitoa nje ya mashindano timu ya Zimbabwe. PICHA NA MOHAMED MAMBO
Kikosi cha timu ya Zimbabwe kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mpambano huo.
Kikosi cha timu ya Uganda kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mpambano huo.

No comments:

Post a Comment