Mwanamuziki
mpya wa Bendi ya Mashujaa,Charles Gabriel a.k.a Chaz Baba akiwasilli
kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jana jioni ya jana akitokea nchini
Dubai alikokuwa amekwenda kwa mapumziko mafupi baada ya kuikacha Bendi
yake ya awali ya African Stars (Twanga Pepeta).
Charles
Baba akiwa ameshikilia maua mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa
ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere jioni ya jana tayari kwa kujiunga na bendi
yake mpya ya Mashujaa.
Charles
Baba akikabidhiwa uwa na mmoja wa vimwana wa karibu wa bendi ya
Mashujaa kwenye uwanja wa ndege wa Mawlimu J.K.Nyerere.
No comments:
Post a Comment