Mchezaji
wa timu ya Simba Felix Sunzu akimtoka beki wa timu ya Toto Africa ya
Mwanza katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom unaofanyika kwenye uwanja wa
Taifa jijini Dar es salaam jioni hii, Mpira umekwisha na hakuna timu
iliyofanikiwa kupata goli katika dakika tisini matokeo yamekuwa 0-0.
Kocha Milovan ameipongeza timu ya Toto Africa kwa kucheza vizuri, wao
walitaka kushinda lakini hawakuweza kufanya vizuri.
SHULE ZA MBEYA KUFANYIWA UKARABATI MKUBWA
-
Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji la Mbeya, John Nchimbi, ametangaza mpango
mkubwa wa kuboresha miundombinu ya shule za msingi ndani ya jiji hilo,
akieleza kuw...
56 minutes ago
No comments:
Post a Comment