Mchezaji
wa timu ya Simba Felix Sunzu akimtoka beki wa timu ya Toto Africa ya
Mwanza katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom unaofanyika kwenye uwanja wa
Taifa jijini Dar es salaam jioni hii, Mpira umekwisha na hakuna timu
iliyofanikiwa kupata goli katika dakika tisini matokeo yamekuwa 0-0.
Kocha Milovan ameipongeza timu ya Toto Africa kwa kucheza vizuri, wao
walitaka kushinda lakini hawakuweza kufanya vizuri.
No comments:
Post a Comment