Hapa hali ilikuwa imeshatulia shwari mida ya saa saba ila asubuhi mitaa hii ilikuwa imefunga watu wamejaa kushangaa tukio hilo.
Bata
huyo ni wa famili yake na jamaa aliweza kupiga bao zake tatu
duuuuh.Alipokutwa hakukataa alielezea kila kitu kuwa alikuwa
kazidiwa.Wananchi walimbeba mzobemzobe na kumpeleka kituo cha polisi
sasa hapo siji mshitaki atakuwa nani??!!
Ndio hivyo watu husema dunia ina mambo lakini si kweli binadamu ndio wana mambo!!picha kwa hisani ya Gea Habib!na Dina marios blogspot
No comments:
Post a Comment