Pages

Thursday, May 17, 2012

HUYU NDIO BATA ALIYEINGILIWA NA BINADAMU MPAKA AKAFA


Kama ulisikiliza hekaheka za juzi katika leo tena!!Hii imetokea hapahapa Dar es salaam njemba imekutwa ikimuingilia bata mzinga mpaka akafa.Alimtoa bata kwenye banda na kuingia nae chumbani kwake na kumfanya hicho alichomfanya
Hapa hali ilikuwa imeshatulia shwari mida ya saa saba ila asubuhi mitaa hii ilikuwa imefunga watu wamejaa kushangaa tukio hilo.
Bata huyo ni wa famili yake na jamaa aliweza kupiga bao zake tatu duuuuh.Alipokutwa hakukataa alielezea kila kitu kuwa alikuwa kazidiwa.Wananchi walimbeba mzobemzobe na kumpeleka kituo cha polisi sasa hapo siji mshitaki atakuwa nani??!!
Wananchi hawamtaki mtaani kwao asije akawabakia watoto buree.
Ndio hivyo watu husema dunia ina mambo lakini si kweli binadamu ndio wana mambo!!

                                              picha kwa hisani ya Gea Habib!na Dina marios blogspot

No comments:

Post a Comment