Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, May 1, 2012

MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI IRINGA YADODA ,MGENI RASMI RC IRINGA ASHINDWA KUTOKEA


Hawa ndio badhi ya wafanyakazi waliofika katika maadhimisho hayo yaliyofanyika uwanja wa Samora
Hawa ndio wafanyakazi bora kwa mwaka huu
Wanahabari wakifuatilia maadhimisho hayo
Huu ndio umati mzima wa wafanyakazi na wananchi

No comments:

Post a Comment