Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, May 1, 2012

PICHA TATU ZA JINSI KOCHA WA MAN CITY NA MAN U WALIVYOPANDISHIANA JANA.



Alex Ferguson na Roberto Mancini uwanjani jana usiku kabla ya kupandishiana ambapo baada ya mechi Ferguson alikiri kwamba wachezaji wake hawakuliona sana goli la City, walipata nafasi chache sana kushambilia.

hapa ni wakati walipoanza kupandishiana ambapo baada ya mechi Ferguson alisema Mancini alikua analalamika sana kuhusu refarees kwa wiki nzima hata kwenye mechi alikua analalamika tu kitu ambacho alijua kabisa kwamba hata afanyaje hakiwezi kubadilishwa chochote.

Wakiamuliwa.

.

.

.

No comments:

Post a Comment