Alex
Ferguson na Roberto Mancini uwanjani jana usiku kabla ya kupandishiana
ambapo baada ya mechi Ferguson alikiri kwamba wachezaji wake hawakuliona
sana goli la City, walipata nafasi chache sana kushambilia.
hapa
ni wakati walipoanza kupandishiana ambapo baada ya mechi Ferguson
alisema Mancini alikua analalamika sana kuhusu refarees kwa wiki nzima
hata kwenye mechi alikua analalamika tu kitu ambacho alijua kabisa
kwamba hata afanyaje hakiwezi kubadilishwa chochote.
Wakiamuliwa.
.
.
.
No comments:
Post a Comment