Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, June 22, 2012

PICHA NA MATUKIO YA MWILI WA MTOTO MCHANGA ULIOKUTWA UKIELEA MTO MOROGORO!


Wananchi waliofika eneo la tukio. 
MWILI wa kichanga chenye jinsia ya kiume jana jioni uliokotwa katika Mtaa wa Ngoma 'A' kwenye Mto Morogoro, mjini Morogoro, ukidaiwa kutupwa na mama yake muda mfupi baada ya kujifungua.
Uchunguzi wa awali umebaini kwamba mwanamke aliyefanya ukatili huo alikunywa maji ya uchungu kwa lengo la kujifungua kabla ya miezi tisa kutimia ambapo mtoto huyo alionekana kukaa tumboni kwa miezi saba au minane.

No comments:

Post a Comment