Wananchi waliofika eneo la tukio.
MWILI wa kichanga chenye jinsia ya kiume jana jioni uliokotwa katika
Mtaa wa Ngoma 'A' kwenye Mto Morogoro, mjini Morogoro, ukidaiwa kutupwa
na mama yake muda mfupi baada ya kujifungua.
Uchunguzi wa awali umebaini kwamba mwanamke aliyefanya ukatili huo
alikunywa maji ya uchungu kwa lengo la kujifungua kabla ya miezi tisa
kutimia ambapo mtoto huyo alionekana kukaa tumboni kwa miezi saba au
minane.
No comments:
Post a Comment