Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, July 5, 2012

SALAMA JAY, MADAM RITA NA MASTER JAY WATEMBELEA BANDA LA ZANTEL SABASABA



Jaji mkuu wa EBSS Rita Poulsen na Salama Jay wakiwa na wafanyakazi wa banda la Zantel kwenye maonyesho ya kimataifa ya biashara ya SabaSaba.
MADAM RITA AKIKARIBISHWA KWENYE BANDA LA ZANTEL NA MKUU WA MASOKO BW. DEEPAK KUMAR GUPTA.


SALAMA J AKIPIGA PICHA NA MSHABIKI WAKE.


MADAM RITA AKIZUNGUSHWA BANDA LA ZANTEL SABASABA


MADAM RITA AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI




MAJAJI WA EPIQ BONGO STAR SEARCH, MADAM RITA, SALAMA J NA MASTER J WAKITOKA KWENYE BANDA LA ZANTEL.


MENEJA MAWASILIANO WA ZANTEL, AWAICHI MAWALLA AKIJIBU SWALI LILILOULIZWA NA MWANDISHI WA HABARI. habari na shaffih dauda

No comments:

Post a Comment