skip to main |
skip to sidebar
Dr.Slaa Ajibu Mapigo Ya Samwel Sitta
Dr.Slaa akiongea na wandishi wa habari leo mjini Iringa.
Na Said Ng'amilo Wa Mjengwablog,Iringa
Mh
Samweli Sitta kwa maneno yake aliyotamka hivi karibuni kama ilivyo
ripotiwa na vyombo vya Habari nchini. Dr alieleza hayoleo mbele ya
waandishi wa habari mjini Iringa katika ukumbi wa M.R HOTEL Majira ya
asubuhi alianza kwakukanusha uongo aliousema Mh Sitta kuwa katika Chama
cha Demokrasia na Maendeleo hamna viongozi tishio ila ni Dr
Slaa.Amemshangaa nakusema, ajuavyo yeye Hawezi kuwasemea akikanusha hayo
pamoja na kumuita Mh mwenyekiti wa Chadema ni mchezesha disco katika
nchi hii niuwongo ulio wazi. Tunavyojua MH Mbowe nimmiliki wa klabu ya
burudani ambamo wapenzi wa mziki katika nchihii wanajua hivyo natena
kunabaadhi ya Mawaziri ni wateja katika ukumbihuo.
Akimuelezea Mh Samweli Sita ni Muhaini
wa kwanza katika nchi hii akiwa Spika wa Bunge la Jamuhuri la muungano
wa Tanzania alizuia muswada uliopelekwa Bungeni na Mh Zito kabwe
unaohusu Ufisadi katika makampuni yauma. Yakiwemo Meremeta nk.kinyume
chake wakamfukuza Mh zito Bungeni kwa miezi sita na wakamrudisha
kimyakimya.
Pia
Mh sita nimwanzilishi wa chama cha CCJ katika nchi hii wakiwa na Mh
Mwakyembe kwa lengo lakuhama CCM waliandika katiba kama ya CHADEMA
wakiwa nadhamira ya kujaribu upinzani huku wakisema wakishindwa
watajiunga na CHADEMA. Wakatihuo Sitta akifanya mawasiliano ya faragha
maranyingi na Dr.Slaa huku akijigamba kuwa ana wa bunge wengi zaidi ya
Hamsini atahama nao iwapo atakuja Chadema.
kipindi
cha uchaguzi wa Spika wa Bunge la Jamuhuri la Muungano CCM walipo
badili utaratibu na kumtaka mgombea Mwanamke yeye alichukizwa nahilo.
Nandio ulikuwa mwanzo wakutapatapa akijua muda wake wakudhani yeye ni
Spika wakudumu. Kwani mfano tunao akiwa spika alijenga nyumba ya Spika
Jimboni kwake kwa pesa ya Serikali yenye gharama kubwa zaidi ya mara
kumi yakiwango kilicho pangwa cha kujengewa ofisi za wa Bunge katika
kila jimbo. Nasiyo kama alivyofanya yeye. Dr Saa alisema tunayajua mengi
yafanywayo na viongozi serikalini wanao toka CCM kwaleo nasema machache
mengine ni akiba. kwakua natumia silaha sawa na wanyotumia maadui zetu.
Pamoja
na hayo Chadema wamewashukuru Jeshi la Polisi na CCM Kwakuwa wamekuwa
kama makada wao kwani wamewafanya wawafikie wananchi wegi katika mkoa
wa Iringa baada ya kusitisha Maandamano na Mkutano mpaka Sensa ipite wao
wakaamua kwenda mtaa kwa mtaa kijiji kwa kijiji. kata kwa kata hivyo
toka waanze wamefika vijiji Mia na hamsini katika Wilaya ya
Mufindi,(W)Iringa,Wilaya ya Kilolo pamoja na Iringa Manispaa ambapo
watafanya Mkutano tar 9.9.2012 viwanja vya Mwembetogwa.
Picha na habari- Said Ng'amilo wa Mjengwablog, Iringa
No comments:
Post a Comment