Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, August 13, 2012

Je Wamjua John Stephen Akhwari shujaa wa Tanzania ambaye katika Olympic mwaka 1968 aligoma kuacha kukimbia baada ya mguu wake kuteguka

Huyu ndiye John Stephen Akhwari shujaa wa Tanzania ambaye katika Olympic mwaka 1968 aligoma kuacha kukimbia baada ya mguu wake kuteguka na kujeruhiwa vibaya hadi alipomaliza na kutoa kauli ya "Nchi yangu haikunituma maili 10,000 kuja kuanza mbio bali kuja kumaliza mbio". Mwaka 1983 alipewa tuzo ya kipekee ya heshima kwa ushujaa wake na amekuwa akikaribishwa katika kila mashindano ya Olimpiki kama balozi wa heshima. Anakufundisha nini katika maisha yako ya kawaida.

No comments:

Post a Comment