Ramadhan Chombo Redondo ana mkataba na Azam FC hadi June 30,
2013... Kwa maana hiyo Chombo ni mchezaji halali wa Azam FC na Azam FC haina
mpango wa kumuuza isipokuwa kumuongeza mkataba, Simba waangalie wasije
wakapoteza pesa zao kama kwenye suala la Jeba. NUKTA
No comments:
Post a Comment