Mwanamuziki wa muziki wa kizazi
kipya Barnaba kutoka THT akiimba katika tamnasaha la Serengeti mFiesta
kwenye uwanja Sokoine usiku huu jijini Mbeya ambapo wasanii mbalimbali
wa muziki wa bongo fleva wameshiriki, katika bahati nasibu hiyo Eva B
Mgovani ndiye aliejishindia gari aina ya Toyota Virtz usiku huu, watu
ni wengi na wamejitokeza na wamechangamka sana kwa ujumla onyesho liko
Live kabisa limepokelewa vizuri na wakazi wa jiji la Mbeya katika picha ,
kulia ni Chiku Saleh kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha na kushoto
ni mtangazaji wa clouds B 12.
www.fullshangweblog.com inakumuvuzishia matukio haya moja kwa moja kutoka uwanja wa Sokoine jijini Mbeya usiku huu.
Katikati ni mwigizaji wa filamu
Wema Sepetu akiwa na Shilole kulia na Aunt Ezekiel katika tamasha la
Serengeti Fiesta usiku huu uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Mwanamuziki Diamond akiimba kwa
hisi wakati akifanya onyesho lake mbele ya mashabiki lukuki kwenye
uwanja wa Sokoine usiku huu jijini Mbeya
Mkuu wa wilaya ya Mbeya Mh. Dkt.
Norman Sigallah akishuhudia wakati Rugambo Rodney meneja masoko wa
kampuni ya Push Mobale akichezesha bahati nasibu ya gari aina ya Virtz
inayochezaeshwa na kampuni ya bia ya Serengeti ikishirikiana na Push
Mobile katika tamasha la Serengeti Fiesta linalofanyika usiku huu kwenye
uwanja wa Sokoine
Mmoja wa wasanii kutoka jijini Mbeya akiimba katika onesho hilo
No comments:
Post a Comment