Pages

Tuesday, October 30, 2012

EXCLUSIVE:SUMA LEE AIBIWA GARI LAKE MAENEO YA COCO BEACH


Kama unakumbuka lile gari ambalo mtu mzima Suma Lee alilopata nalo ajali kipindi akielekea zake mkoani Kigoma kwa kupiga show sasa habari ambayo tumeipata hivi sasa kutoka kwa msanii huyu ni kwamba siku ya Jumapili iliyopita akiwa zake maeneo ya Coco Beach alijikuta ni mtu ambaye sio mwenyewe furaha baada ya kuibiwa gari lake siku hiyo

No comments:

Post a Comment