Pages

Tuesday, October 30, 2012

MAZOEZI YA SIMBA KWA AJILI YA MCHEZO DHIDI YA POLISI MORO SC LIGI KUU YA VODACOM UWANJA WA JAMHURI MOROGORO 0KTOBA 31/ 2012..



 EMMANUEL OKWE KUSHOTO AKIPIMANA UBAVU NA FELIX ZUNZU 
WAKATI WA MAZOEZI YA KLABU YA SIMBA KWA AJILI YA MCHEZO 
BAINA YA TIMU HIYO NA POLISI MORO SC KATIKA LIGI KUU YA
 VODACOM TANZANIA BARA JIONI KATIKA UWANJA WA JAMHURI
 MOROGORO.
 HARUNA SHAMTE AKIUPIGIA MAHESABU MPIRA HUO.

 UHURU SELEMAN (16) AKITAFUTA NAMNA YA KUWATOKA 
WACHEZAJI WENZAKE MWINYI KAZIMOTO.
 WACHEZAJI WAKIOMBA DUA MARA BAADA YA KUMALIZIKA KWA
 MAZOEZI.
MASHABIKI WA KLABU YA SIMBA WAKINGALIA MAZOEZI YA KLABU
 HIYO.

No comments:

Post a Comment