Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza a Shekh Noordin Kishk (katikati) na
Mwenyekiti wa Taasisi ya Waarabu tanzania , Said Said Mohamed (kulia)
baada ya kuzindua Taasisi hiyo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini
Dar es salaam Novemba 18,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu wa Taasisi ya Waarabu
Tanzania, Mohamed Suqry baada ya kuzindua Taasisi hiyo kwenye ukumbi wa
Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment