Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, November 19, 2012

PINDA AZINDUA TAASISI YA WAARABU TANZANIA.




Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akizungumza a Shekh  Noordin Kishk (katikati) na Mwenyekiti wa  Taasisi ya Waarabu tanzania , Said Said Mohamed  (kulia) baada ya kuzindua Taasisi hiyo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Novemba 18,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu wa Taasisi ya Waarabu Tanzania, Mohamed Suqry baada ya kuzindua  Taasisi hiyo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment