Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, December 29, 2012

HII KALI SOMA::::MSHKAJI ALIYEZIPIGA KAVU KAVU NA DEMU TAIFA AKAMATWA NA POLISI



‘Raia mwema’ mmoja jioni hii amedakwa na Polisi na kupelekwa mbele, baada ya kuzipiga na mwanamke Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, wakati mchezo wa kirafiki kati ya Simba SC na Tusker ukiendelea. Wote walichaniana nguo katika ugomvi huo kabla ya kuamuliwa na raia wenzao, ndipo baadaye askari akaja kumkamata mwanaume kwanza na kabla ya kumuunganisha mwanamke na kuondoka nao mbele. Cheki mchezo kamili ulivyokuwa…
Zinapigwa, jamaa anaamulia

Ndindo

Jamaa alijitahidi sana kuamulia tangu wanaanza tu

Pambano linaendela

Refa kazi alikuwa nayo

Marefa walipoongezeka, ndipo pambano lilisimama

Cheki kazi hiyo

Hadi kuchaniana nguo

Kaazi kweli kweli

Afande kamdaka mshkaji, anaondoka naye...

Kamuunganisha na binti waliyekuwa wanagombana naye...mbele kwa mbele hiyo

Binti bado anampa maneno tu mshkaji mbele ya askari..

No comments:

Post a Comment