Pages

Wednesday, January 23, 2013

AKUTWA AMEJINYONGA MAFIATI MBEYA



MKAZI WA MAFIATI MTAA WA MAANGA JIJINI MBEYA ALLY MSOKE AMEKUTWA AMEJINYONGA NYUMBANI KWAKE MPAKA SASA KISA CHA KUJINYONGA HAKIJAJULIKANA
MWILI WA MAREHEMU UKIWA UMELAZWA NJE YA NYUMBA YAKE

BAADHI YA WANANCHI WAKIWA KATIKA TUKIO HILO



PICHA NA KAMANGA

No comments:

Post a Comment