Mvua
kubwa iliyonyesha morogoro jioni ya leo imesababisha mafuriko katika
mtaa wa morogoro.Mvua hiyo iliyoanza kunyesha kuanzia saa tisa alasiri
imenyesha takribani kwa masaaa mawili imesababisha mafuriko katika
barabara ya msavu kuingia katikati ya mji hali iliyosababisha msongamano
mkubwa wa magari.
Maji yakiwa yamejaa eneo la mtawala baa ya ya mvua kubwa kunyesha jioni hii mkoani morogoro
Mafuriko hayo yaliingia katika makazi ya watu na hapa ni mashine za kukoboa mpunga wakiwa wamesimamisha kazi zao baada ya maji kuinia ndani.

No comments:
Post a Comment