Siku
chache zilizopita kuana mtu alikuwa anacharge simu yake nyumbani. Kila
mara alipokuwa akipigiwa simu alikuwa anapokea wakati simu iko kwenye
charge.Baada ya dakika kidogo simu ikapata short wakati anaongea na simu
kilichomtokea ni kuungua mikono na pia kitanda na mto aliokuwa amelalia
vyote viliungua.
Kwa
hali kama hii napenda kuwajulisha wadau wangu kuwa kuweni makini wakati
unacharge simu na simu ikiita itoe kwenye charge yasije yakakutokea
kama yaliyomtokea kijana huyo kwani vidole vyake vimearibika
No comments:
Post a Comment