Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, January 2, 2013

PICHA MBALIMBALI ZA WACHEZAJI WA YANGA WAKIWA UTURUKI NA TASWIRA YA HOTEL WALIOFIKIA YANGA



Wachezaji wa Yanga wakishuka kwenda uwanja wa mazoezini jioni ya  jana.
 
Dah... huku kunatamanisha sana kubaki!  Kutoka kushoto ni Nadir Haroub 'Cannavaro', Frank Domayo na Simon Msuva. Hapa wakipozi kwa picha wakati wa mazoezi ya timu yao ya Yanga nchini Uturuki jana Desemba 31, 2012. 
Hoteli walilofikia Yanga nchini Uturuki... ni maraha utamu!


Simba watatukoma mwaka huu... makocha wa Yanga, Razak Siwa (kushoto) na Ernst Brandts wakitafakari wakati vijana wao (hawapo pichani) wakiendelea kujifua



Huku tukizubaa lazima tuwe masharo kwa sana... Cannavaro (kulia) na Razak Khalfan wa Yanga wakiwa kwenye uwanja wao wa mazoezi nchini Uturuki jana Desemba 31, 2012.



Kutoka kushoto ni dogo Rehani, Mbuyu Twite, George Banda, Hamis Kiiza na Didier Kavumbagu wa Yanga wakiendelea kujifua kwenye kambi yao nchini Uturuki

No comments:

Post a Comment