Mabaki
ya nyumba za marehemu Ernest Mholela zilizobomolewa kabla ya kumzika
akiwa hai kutokana na kutuhumiwa kuwa mchawi. Picha na Stephano
Simbeye
KUTOKANA
na tukio la watu wawili kuzikwa wakiwa hai hivi karibuni Wilaya ya
Mbozi, wazee mkoani Mbeya wameiomba Serikali kuandaa utaratibu wa
kutoa ulinzi hasa kwa watu waliopo vijijini.
Wamesema
matukio kama hayo yamewajengea woga na kusababisha kuishi kwa hofu
hali inayosababisha kushindwa kufanya kazi zao za kila siku na kushiriki
katika shuguli za kijamii vizuri.
No comments:
Post a Comment