Pages

Monday, March 18, 2013

MARA YAKO YA MWISHO KUMUONA MWIGIZAJI CHUCK NORRIS ILIKUA LINI? HUU NDIO MUONEKANO WAKE WA SASA.



.
Hii picha ni ya enzi hizo lakini hiyo hapo chini ndio ya muonekano wake wa sasa aliyopigwa Hawaii mwishoni mwa wiki iliyopita…….  jina lake la kuzaliwa ni Carlos Ray Norris ambae march 10 2013 amefikisha umri wa miaka 73…. ni mmoja kati ya movie stars wa dunia miaka hiyo.
.

No comments:

Post a Comment