skip to main |
skip to sidebar
BABA YAKE DULLY ANASWA AKIMALIZIA KUSOKOTA GANJA, CHEKI JINSI ALIVYOIFICHA KISHIKAJI HAPA
Baba
mzazi wa mwanamuziki wa bongo flava nchini Dully Sykes, Mzee Sykes
pichani kama inavyoonekana akiwa na madawa harafu ya kulevya aina ya
bangi mkononi huku mbegu mbegu zikiwa zimedondoka chini.
Dully Sykes
Baba
mzazi wa mwanamuziki nyota wa bongo flava nchini Dully Sykes Mzee Sykes
hivi karibuni alinaswa na kamera ya Xdeejayz akichambua bangi mikononi
mwake kwa ajili ya kuitumia.
Tukio
hilo la aina yake lilitokea maeneo ya Mikono nyumbani kwa msanii
aliyefahamika kwa jina la Shebo, na kushuhudiwa na papalazi wetu ambae
alifanikiwa kumpiga picha mzee huyo akiwa na bangi mkononi mwake.
Mzee
huyo akiwa hana shaka yoyote aliendelea kuchambua bangi hiyo huku mbegu
zake zikidondoka chini kama mshere unavyoonesha hapo pichani.
Hata
hivyo mzee huyo alishindwa kuendelea na zoezi la kuitayarisha bangi
hiyo kutokana na kumtilia wasi wasi mwandishi wetu akidhani ni afande
hali ilimfanya kukosa amani muda wote wakati hadi mwandishi wetu
alioondoka na yeye alipata wasahaa wa kuendelea kuiandaa bangi hiyo.
From:XDEEJAYZ
No comments:
Post a Comment