Diwani
wa CHADEMA kata ya Mungaa jimbo la Singida Mashariki, Matheo Alex (wa
pili kushoto aliyenyanyua mkono juu) akiwa katika chumba cha mahakama ya
hakimu mkazi mjini Singida akisubiri kusomewa shitaka lake la kukata
kata ng’ombe sita mali ya Mary John mkazi wa kijiji cha Minyinga kata ya
Mungaa.Wa pili kulia ni mtoto wa diwani Alex, Faraja na wa pili kushoto
Bahati Sumbe (mwenye jacketi la njano) wameunganishwa kwenye kesi moja
na diwani Alex.
Mwenyekiti
wa CCM kijiji cha Minyinga kata ya Mungaa jimbo la Singida mashariki,
John Theodore Ghumpi (wa kwaza kushoto) akimhoji mbunge Tundu Lissu, ni
kwa nini anatetea wahalifu ambao amedai wamejichukulia sheria mkononi
kwa kukata kata ng’ombe zake sita.Ghumpi ni mume wa Mary John.(Picha na
Nathaniel Limu).
No comments:
Post a Comment