Picha
ya alibino aliyekatwa mkono na watu wanaoamini watatajirika kupitia
imani za kishirikinba,Hawa nao binadamu wenzetu,Unyama huu haufai ndugu
zangu.Tuwe na hofu ya Mungu ndani yetu,
Mtandao
huu ukakuta unyanyasaji wa namna hii bianadamu anafungwa minyororo kama
mtumwa .Huu nao ni ukatili kupindukia tupendane kama watoto wa mama na
baba mmoja.
No comments:
Post a Comment