WATOTO wa mitaani ‘Chokoraa’ leo wamepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Sokoine Drive jijini Dar na kufunguliwa mashitaka ya uzururaji. Watoto hao walinaswa kwenye msako uliofanyika kwenye kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani ‘Ubungo Bus Terminal’.
MAKATIBU WAKUU NA WADAU WA TANZANIA SAFARI CHANNEL WAKUTANA DODOMA
-
KAMATI ya Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali pamoja na wadau wa
televisheni ya Tanzania Safari Channel wamekutana kuzungumzia uendeshaji wa
Chaneli ...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment