Boti kubwa imezama katika ziwa Tanganyika maeneo ya Kipwa upande wa Tanzania na kuua watu wapatao 12.
Kwa mujibu ya watu waliotoa taarifa,watu 12 wameopolewa wakiwa wamekufa kutokana na kuzama kwa boti hiyo, mpaka sasa maiti hao bado hawajatambuliwa kuwa ni raia wa wapi.
Hivi sasa naelekea sehemu ya tukio kusaidia uokoaji wa majeruhi wa eneo hilo ambapo mpaka sasa watu watatu wamepatikana wakiwa hai; nitawajuza baada ya kufika eneo la tukio.chanzo jamii forum
IAA YANG'ARA KWENYE MASHINDANO YA CYBER CHAMPIONS YA MWAKA 2025.
-
Chuo cha Uhasibu Arusha kimeibuka kidedea na kung'ara katika mashindano ya
Cyber Champions ya mwaka 2025
Mashindano hayo yameweza kushirikisha Taasis...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment