MFUMO WA USHUGHULIKIAJI WA RUFAA NA MALALAMIKO UTAONGEZA UFANISI KATIKA
UTOAJI HAKI KWENYE UTUMISHI WA UMMA-MHE. SANGU
-
*Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora Mhe. Deus Sangu akizungumza wakati akifungua mafunzo kuhusu Mfumo wa
ushughu...
8 minutes ago
Ningeomba serikali suala la ajira ilichunguze vzr sana,Maana imefikia hatua hat sehemu za za kufanyia mazoezi kwa vitendo katika idara zilizo chini ya serikali nafasi zinatolewa kwa misingi ya ninani na anafahamikaje.Vilevile serikali ichunguze na ajira za mabenki yaliyo chini yake,TRA na idara nyinginezo.Zimeoza kabisa kama huna ndg siku hizi tunasema refa hupati nafasi ya kazi hapa TZ.
ReplyDelete