Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (aliyesimama katikati mstari wa
mbele), katika picha ya pamoja na Mwenyekiti Tume ya Utumishi wa Umma
aliyemaliza muda wake Bwana, Jovin Kitambi (Kushoto) na Katibu wa Tume
ya Utumishi wa Umma, Bibi Claudia Mpangala (Kulia), pamoja
na Makamishna na baadhi ya Watendaji wa Tume ya Utumishi wa Umma.
Mwenyekiti na Makamishna hao walikwenda Ikulu kumuaga baada ya kumaliza
muda wao wa Uongozi katika Tume ya Utumishi wa Umma, kwa kipindi cha
miaka Sita.
Dkt Mpango Alia na Wanaofumbia Macho Vitendo Vya Ukatili Nchini.
-
Na Jane Edward, Arusha
Makamo wa Rais wa Tanzania Dkt Philiph Mpango amesema bado jamii inafumbia
macho vitendo vya ukatili hali inayosababisha...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment