ANDRE LAPIERRE (50) MFANYAKAZI WA MGODI WA BULHYAHULU
Mzungu akitoka kusikiliza shauri lake chumba cha mahakama ambapo shauri hilo lilihairishwa mpaka tar 4.10.2013 ambapo alidhaminiwa na wadhamini wawili na fedha shilingi milioni moja
Akisoma makosa ya mtuhumiwa, hakimu wa mahakama ya mwanzo Lunguya Derick Masaga ameiambia mahaka kuwa Andre Lapierre mwaka jana alimpata hujauzito Elizabeth John (21) mkazi wa Kakola ambaye alizaa mtoto wa kike aliyefahamika kwa jina la Mariam Andre, na kumtelekeza muda wote bila huduma.
Mtuhumiwa alikana kumtelekeza mtoto huyo na kuiomba mahakama hiyo iagize wakapimwe vipimo vya vinasaba (DNA) ili kubaini ukweli na vipimo vimethibitisha hilo
No comments:
Post a Comment