Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, September 3, 2013

NEWZZZZ:::::MICROSOFT WAINUNUA KAMPUNI YA SIMU YA NOKIA,SABABU HIZI HAPA SOMA.


 Kampuni ya Microsoft yanunua kampuni ya simu ya Nokia. Nokia ambayo imekuwa ikiongoza kwa kuuza simu zake, imekuwa ikisuasua hivi karibuni kutokana na simu mpya za kisasa kama vile iPhone. Je bado unatumia Nokia, au za kisasa-
CHANZO BBC SWAHILI

No comments:

Post a Comment