Rais Jakaya
Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mke wa Rais Mama
salma Kikwete, wakitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa
marehemu, Meinrad Diones Maokola, ambaye ni Kaka wa Waziri Mstaafu,
Maokola Majogo, aliyefariki jana jijini Dar es Salaam. Shughuli ya
kuagwa mwili wa marehemu ilifanyika Masaki jijini Dar es Salaam leo.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu,
Meinrad Diones Maokola, ambaye ni Kaka wa Waziri Mstaafu, Maokola
Majogo, aliyefariki jana jijini Dar es Salaam. Shughuli ya kuagwa mwili
wa marehemu ilifanyika Masaki jijini Dar es Salaam leo. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment